naomba kuuliza... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba kuuliza...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by stevoh, Aug 23, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  leo nimepata nafasi nimezurura huku jukwaani lakini yafuatayo yamenitatizaa;
  1. Wanaoandika majina ya wenzao wengine wanawezea lakini wengine mpaka u''reply'' ndo yanatokelezea.
  2. Mbona watu wananichanganya kuhusu harusi ya mtoto6 na Chaming....
  Naomba mwongozo juu ya hili.
  3. Mbona harusi sijui ndo ya hao wanajamvi ina utata na vipingamizi kuliko?????


  Naomba kuwasilisha nipewe na majibu tafadhali
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  hapo na. 2 umekosea. tafadhali rekebisha kabla hujapelekwa mabwepande!!!!!
   
 3. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  akigoma nibip nianze kutoa plate namba za hii gari nije kumchukua kwa safari ya kung'oa kucha na meno
   
 4. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,372
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  umenifanya nikacheka mpaka watu wananishangaa kwani naendelea kucheka mpaka machozi yananitoka. C.l. Kama kweli ww ni binadamu iko siku.
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  yani hii ni thread karibu mia kuhusu utata wa ndoa ya MtotoSix na charminglady. ila maswali yako ungeyarusha direct kwa wanaopinga hii ndoa kufungwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...