Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 552
- 1,120
Huna issue wewe...mfxxxx...CHOKO MLEGEZO...nikae nalinamba lako la nini? ..bado unatembea kwà miguu....utaniambia nini...tatantaaaa...haikatai....kama vipi fresh tu.....unaweza kufuta namba yangu,....and by the way...hata siku ile sikuweza kuisave namba Yako cause hata jina nshakusahau..nikaogopa kukuuliza!..mshamba mmoja wewe wa morogoro matombo huko!!! Utaniambia nini...Mfxxxxxx..boya mmoja , bado unatembea na mibahasha mkononi kutafuta ajira!!!Ivi kwanini watu ambao labda umesoma nao au mmejuana zamani ivi mkapoteana wana tabia ya kuomba namba then wanapotea tena au hawakutafuti? Wanaomba namba ya nn? Au ndo hii salam mpya Km Hamna la kuongea basi kujifanya nitakutafuta then hata akikutafuta one or 2 message uyo humuoni tenaSasa unaomba namba ya nini?c salimianeni tu then poteza.
Duh hii ni ajeHuna issue wewe...mfxxxx...CHOKO MLEGEZO...nikae nalinamba lako la nini? ..bado unatembea kwà miguu....utaniambia nini...tatantaaaa...haikatai....kama vipi fresh tu.....unaweza kufuta namba yangu,....and by the way...hata siku ile sikuweza kuisave namba Yako cause hata jina nshakusahau..nikaogopa kukuuliza!..mshamba mmoja wewe wa morogoro matombo huko!!! Mfxxxxxx
Acha unafki Ndugu! Hapo cha ajabu nini? #JF ni ya watu wote!
😂😂😂 hata sielewi Km ananifokea mie ingawa hata cmjui na I'm using an Alias Sasa cjui😂😂😂
Huwa nikikutana nae siombi namba labda kama alikuwa mshikaji sana na siombi nambab yeye ndio aombeIvi kwanini watu ambao labda umesoma nao au mmejuana zamani ivi mkapoteana wana tabia ya kuomba namba then wanapotea tena au hawakutafuti? Wanaomba namba ya nn? Au ndo hii salam mpya Km Hamna la kuongea basi kujifanya nitakutafuta then hata akikutafuta one or 2 message uyo humuoni tena😳😳😳 Sasa unaomba namba ya nini? 😡😡😡 c salimianeni tu then poteza.
Ktk vitu vimenipita na sina mzuka ni status na kujipost mitandaoni. Yaani ziwezagi kujipost mitandaoni wala hayo mambo ya status naona kama utoto.Wanakuomba namba ili wawe wanakuona watsup status kuchora hatua zako za kimaisha
Katika vitu sipendi ni kujipendekeza kwa mtu hata awe nani kujipendekeza nimekataa, yani nikitane na ww nikuombe namba !!! Haiwezekani.sababu ya yote ni--Kuna mtu hapo juu ka comment kuwa ukiona hupigiwi baada ya kuchukua namba basi elewa huna thamani/matumizi kwao.
Binadamu tumeumbwa na ubinafsi wa kupenda kupata manufaa katika kila jambo.
Mlipokuwa shule mlikuwa marafiki sababu mlikuwa eneo moja na mishe zenu ni moja (kusoma).
Kitendo cha kupotezana kila mtu anapata watu wengine wanaendana kimishe na kimaisha.
Kosa kubwa ambalo binadamu tunalo ni kupenda kutathmini kwa muonekano.
Ikitokea umekutana na mtu uliepotazana kwa muda jambo la kwanza bila hata kudhamiria ni ku assess maisha yake kupitia muonekano.
Ukiona mtu anaonekana ana hali duni automatically unajijengea hali ya kuwa atakuwa mzigo kwako kupitia vizinga. Akionekana mambo safi basi unajipa faraja kuwa atakupa michongo. Hivyo kutaka kuendeleza mawasiliano. Ila kumbuka huko kuhukumu kimuonekano hata huyo mwenzio keshaufanya hivyo kutokana na hali yako ndipo kutaamua jinsi gani na yeye atarudisha mawasiliano kwako.
Ukiona umeliwa bati au unajibiwa kwa nyodo elewa ushaonekana miyeyushe.
Chukulia ukienda sehemu kutafuta kazi ukakutana na rafiki yako wa zamani mliosoma wote. Hali utakayokutana nayo kwake hapo kazini itaamua kwa kiasi kikubwa jinsi gani mawasiliano yenu yatakavyokuwa.
Ikiwa umemkuta kama Boss hapo kazini basi lazima wewe ndie utakaekuwa wakumtafuta na kukumbushia uswahiba wenu hii yote kwa matumaini kuwa atakuwa msaada kwako kupata kazi.
Na uwezekano wa yeye kukujibu kwa mapozi ni mkubwa.
Jifunze kujithamini mwenyewe katika maisha. Usiruhusu hali ya mwingine iamue jinsi gani utam treat huyo mtu.
Ukituma msg mbili bila majibu yenye bashasha basi elewa kuwa ushafanyiwa assessment kuwa huna manufaa. Futa namba endelea kuishi maisha yako.