Naomba kuuliza

Lolote litakalotokea ustawi isihusishwe kutoa maamuzi mkishakubaliana bhasi myamalize wenyew. Kuzaa na mtu ni safar nyngine has kwa wanaume siyo kujtegmea tu! Kutegemew na kuwajibika. Ukikubali kumzalia asiyekupenda jiandae kumnyima mtoto uzeeni

Kumnyima mtoto uzeeni umemaanisha nini?? Sijaelewa
 
Tatizo unayempenda we hakupendi kiviile,ukipiga simu missed calls kibao,sms hazijibiwi kwa wakati,lakini unaemchukulia poa tu kama pozeo hadi huruma,breki nta gusa unate,sms moja tu huyu hapa,na Mungu huwajalia uzazi na akizaa ni kopi utasema papuchi iko na mfumo wa photocopy.
 
Kumbe unajua mkuu huy hakika sikua na hisia naye bali alinipenda mwenyewe bila mimi kumtaka then alizoea kuja kuja geton nikapita nae lakini hisia nae wala sikua naee
Unamuedit kwa kumvutia hisia unaempenda kwa dhati,ila usipokua makini unaweza jikua uko na Jeni ukamuita Anna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom