Naomba kuuliza

Kafuta

Senior Member
Oct 15, 2010
119
29
Wananajanvi wenzangu naomben kuuliza kama hili lililonipata ni tatizo au? Takriban wiki sasa nimekua nikipatwa na kiu ya kufa mtu na kujikuta nakunywa maji mengi sana,karibia lita 3-4 kwa cku.na kukojoa kwa sana tu..madakitar uwanja ni wenu,cjaenda bado spital kwa uchunguz..nimeanzia kwanza kwenu jf.
 
Hamu ya kula je?? Kama unasikia njaa mara kwa mara (i.e. unakula sana) + kunywa maji mengi sana kuliko kawaida + unakojoa sana, hizi dalili tatu zinaashiria kisukari, kapime
 
Back
Top Bottom