Naomba kuuliza waliofanya interview access bank mwanza wameshaitwa. i.e final interview

Naomba kuuliza waliofanya interview access bank mwanza wameshaitwa. i.e final interview

rimoy

Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
58
Reaction score
9
:A S shade:wakuu naomba updates kwa mwenye taarifa.:nono: walisema baada ya wiki moja watapiga simu au sms. :high5:so naona kimya tu na wiki ndo imeisha wakuu.:rockon:
 
Ndugu jamaa wa Access Bado hawajaitwa,maana nina dada yangu nae mlikuwa nae ktk mchongo huo
,So jengeni uvumilivu na kuwa na mawazo positive

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ndugu jamaa wa Access Bado hawajaitwa,maana nina dada yangu nae mlikuwa nae ktk mchongo huo
,So jengeni uvumilivu na kuwa na mawazo positive

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
mkuu vp za dar nazani una infomation zote, msaada plz
 
leo wanapiga simu. kuripoti tarehe 23/04/2013 mwanza branch.
 
mzee wameshaita tayar,watu wameanza pigiwa simu kuwa intavyuu ni tarehe 25 mweiz huu
 
Back
Top Bottom