Naomba kuuliza wadada mliozaa tu

Naomba kuuliza wadada mliozaa tu

We
Jmn kiukweli zingine ni tabia tuu single woman tunaziendekeza just imagine mwanaume angekuwa mbali au ni mume wa mtu utaacha kupeleka mtoto hosp mpk aje duuh hii n upungufu kwa kweli
Ushauri wangu kaka kuwa kauzu as long as unatoa matumiz na upo responsible kwa vitu vingi atajirekebishaaa tuu
Inawezekana umezaa na mume wa mtu na ndo maana unaona poa tu asipokuwepo as long as anatoa matumizi.

I have so much respect for single women because they are strong, upright women who give their all to ensure their kids grow into fine responsible adults but you are tripping lady.
 
Huyo mzazi mwenzio ana pepo LA ukilaza bila shaka anahitaji maombi ya gwajima tena Leo ndio siku nzuri zaidi maana atapata uponyaji Wa pekee
Ukilaza uko wapi?

Kumhitaji mwanaume ashiriki katika malezi ya mtoto?

Hujawaona wanaume ambao wako first hand katika malezi ya watoto wao. Ambao ndio wanawapeleka watoto wao spitali. Ambao ndio wanaoamka usiku kuwaongezea watoto wao wadogo maziwa kwenye chupa.

Ambao ndio wanatoka weekend na watoto wao. Ambao wanawapa watoto wao kipaumbele zaidi ya ndugu na marafiki.

Kuna wanaume dadangu.

Sio hao wa kutoa hela na kusema wanalea.

Come on guys!!
 
Kwa nini umezaa kabla ya ndoa kwanza!?
Wakati wa kuiweka hiyo mimba muda ulikuwa nao tele saa hizi kumpeleka mtoto hospitali ndio unakuwa huna muda kweli?
Huyo mzazi mwenzio yeye ndio hana kazi au kazi yake yeye haogopi kuipoteza? Au huyo bosi wako unakofanya kazi mwanaye akiumwa naye haendi kumpeleka hospitali?
Ebu muwe considerate kidogo, mtu umemzalisha, na kwa mwandiko wako huu inaonekana hujamuoa, hiyo siku moja anayotaka ushiriki katika makuzi ya mtoto wako ndio unamleta JF kumuanika!!!?
Nyie ndio mnakuja kujitambulisha uzeeni eti "mimi ndio baba yako" Ukiona mtu anajitambulisha ujue kuna kipindi katika maisha ya mwanae hakuwepo.
Mwingine huyu hapa
 
Mkuu yani hawa ndivyo walivyo hawajui wanachokitaka anataka uwe karibu ya mtoto mda wote alafu hapohapo akuombe hela ya pampas, anaweza kuhitaji mahitaji ya mtoto alafu akasema unamjali mtoto tu yeye humjali, in short hawafai.
 
Wadau mna mawazo mazuri sana hii ndio raha ya Jf
Just because wanaku support doesnt mean you are all right.

Huwezi kuwa bize kila mara mtoto ama mama yake anapokuhitaji. You have to be there for your family man.

At the end of the day, family is all we have man.
 
Ukilaza uko wapi?

Kumhitaji mwanaume ashiriki katika malezi ya mtoto?

Hujawaona wanaume ambao wako first hand katika malezi ya watoto wao. Ambao ndio wanawapeleka watoto wao spitali. Ambao ndio wanaoamka usiku kuwaongezea watoto wao wadogo maziwa kwenye chupa.

Ambao ndio wanatoka weekend na watoto wao. Ambao wanawapa watoto wao kipaumbele zaidi ya ndugu na marafiki.

Kuna wanaume dadangu.

Sio hao wa kutoa hela na kusema wanalea.

Come on guys!!
Ndio wapo sijakataa,
Ila kuna wengine wanatamani kufanya hayo mambo but muda hauwaruhurusu unaamka alfajir unaenda kazini unarudi home usiku siku pekee ya kupumzika uliyonayo ni j2
Ss kwa hali hiyo utapata wapi muda wa kumpeleka mwanao hospital?!
Wakati mama unapoamua kulalamika hebu angalia kwanza huyo unaemng'ang'ania ampeleke mtoto hospital yuko bize kuasi gn
Ss huyu Dada anataka jamaa aache kwenda kazini ili ampeleke mtoto hospital
 
Mkuu yani hawa ndivyo walivyo hawajui wanachokitaka anataka uwe karibu ya mtoto mda wote alafu hapohapo akuombe hela ya pampas, anaweza kuhitaji mahitaji ya mtoto alafu akasema unamjali mtoto tu yeye humjali, in short hawafai.
Umeona ee?! We muda wote uko pembeni pesa ya permpas utaipataje?!
Labda km huyo jamaa ni mtoto wa baresa
 
Kwa nini umezaa kabla ya ndoa kwanza!?
Wakati wa kuiweka hiyo mimba muda ulikuwa nao tele saa hizi kumpeleka mtoto hospitali ndio unakuwa huna muda kweli?
Huyo mzazi mwenzio yeye ndio hana kazi au kazi yake yeye haogopi kuipoteza? Au huyo bosi wako unakofanya kazi mwanaye akiumwa naye haendi kumpeleka hospitali?
Ebu muwe considerate kidogo, mtu umemzalisha, na kwa mwandiko wako huu inaonekana hujamuoa, hiyo siku moja anayotaka ushiriki katika makuzi ya mtoto wako ndio unamleta JF kumuanika!!!?
Nyie ndio mnakuja kujitambulisha uzeeni eti "mimi ndio baba yako" Ukiona mtu anajitambulisha ujue kuna kipindi katika maisha ya mwanae hakuwepo.
Wanawake huwa tuna mda wa kutosha kulea watoto, hata ukiaga ofisini mtoto ana shida ni rahisi kupewa ruhusa ,ukilingnisha na mwanaume, tupo more responsible zaidi. Kama mwanaume anajali kwa sapot ya hela. wewe tena unataka ageuke kibegi hiyo ni shida!!!!
 
Wazungu wako mbali sana kimalezi wallah...Unajua hata kama mmeachana na mtu,lakini mna mtoto na hakuna kinachowafunga (Distance,Ndoa N.K)Mnapaswa kushiriki kwa pamoja malezi ya mtoto/watotot wenu,Malezi ni zaidi ya Pesa na Chakula,MUDA Wako na Kujali kwako ndo kitu kinachoweka bond kati ya mzazi na mtoto...Kiufupi Memories ni MUHIMU.
 
Kikubwa company ya kulea, yaan hakuna zaidi ya hicho my dear, mtoto anasumbua sna anahitaji malezi ya baba na mama tofauti na hapo hakuna.
 
Back
Top Bottom