Mfalme Daudi
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 110
- 245
Hivi Inafaa Kukaa Mda Gani Kwa Jirani Baada ya kula Ndio Uondoke Ili usionekane Ulifuata Msosi!???
Mkuu mbona rahisi sana. Ukimaliza kula msosi mtext mtu akupigie simu, ktk maongezi jifanye kuna emergency itayokulazimu uondoke hapo.Hivi Inafaa Kukaa Mda Gani Kwa Jirani Baada ya kula Ndio Uondoke Ili usionekane Ulifuata Msosi!???
Inategemea umekula mara ngapi na kiasi ganiHivi Inafaa Kukaa Mda Gani Kwa Jirani Baada ya kula Ndio Uondoke Ili usionekane Ulifuata Msosi!???
Si Ndio,Ila Sikapenda wajue ndi kusudio langu.Lakini kusudio lilikuwa ni kufata msosi ama?
Hahahahahaha!!! kwa hiyo uwe na lisaa lizima lakuchezea hapo.Due umu kuna mambo kwanza nenda nusu SAA kabla hawapika ukila koleza story nusu SAA tens ndo uage
Nimeipenda Hii Trick yako. utakuwa una uzoefu wa haya mambo Asrams.Mkuu mbona rahisi sana. Ukimaliza kula msosi mtext mtu akupigie simu, ktk maongezi jifanye kuna emergency itayokulazimu uondoke hapo.
Kabla hujamaliza vaa viatu utoke utaona unaletewa kamfuko ndani kuna kijicontena ( take away)
Kie Kie Kie Kie.