Tunaochukia foleni za Dar es Salaam

Tunaochukia foleni za Dar es Salaam

Mantheman6

Senior Member
Joined
May 30, 2020
Posts
170
Reaction score
145
Habari zenu ndugu zangu wapambanaji leo kuna wazo lilinijia baada ya kusikia kiongozi mmoja wa serikali amesema inafaa tuanze kulipia kupita daraja la Tanzanite nikawaza hivi kwanini serikali isingeruhusu sisi tusiopenda kukaa kwenye mafoleni kutumia barabara za mwendokasi kwa kulipia??

Yaani ziwe kama toll roads tunalipia tunajiachia tu from kimara to town ni 120 140 hii imekaaje ndugu zangu??
 
Back
Top Bottom