Naomba kuuliza kwa wanawake tu

Naomba kuuliza kwa wanawake tu

Nimempa vitu vingi sana, kabla ya kumtamkia kama ninataka kumuowa maana maisha yake yalikuwa kidogo changamoto,lakini namuona bado anataka niendelee kumsaidia wakati ana mume wake

Utakuwa hujasoma Kyuba ndio maana hujanielewa...
 
Utakuwa hujasoma Kyuba ndio maana hujanielewa...
B7C08DB7-6647-4180-A4A3-D35BD0E8D9E6.jpeg

Kilichobaki.
 
Anakufanya wewe ni chumaulete akuchune wewe akale na mume wake. Aidha huyo mume wake hana kipato kizuri kwa hiyo mke anajiongezea kipato kutoka kwako.
 
Wewe kaka mleta mada sijaona adabu wala tabia nzuri kwa huyo mwanamke wa mtu. Kitendo cha yeye kuolewa na kuendeleza mawasiliano na kuombana hela na mwanaume aliyemtongoza zamani ni kosa na kujiweka kwenye hatari ya mtongozo,
Pia kitendo cha kukwambia mambo ya ndani ya ndoa yao nacho sio sawa. Ana tabia mbaya.
 
Kabisa, apelekewe motooo
Anataka libolo huyo
Mke wa mtu hujapigiwa na mtu baki unalalamika...anatakeje sasa..
Ukute huyu kaka nae hakuwa serious sana kwenye kutongoza...bi dada alitaka abembelezwe sana ndo aikubali ndoa
 
Ulikuwa unampa Rushwa,Ila amekuwa muwazi kwako na amekuheshimu,unajua wakati mwingine unamtongoza mtu anakuambia nilikuwa nakuchukulia Kama baba yangu,Kuna watu wameumbwa Ni wawazi na wa kweli maishani mwako,sio watu wanaopenda kuhongwa hongwa,Kama hapo kabla alikuwa na mpenzi wake ndio angemuacha kwa kuwa wewe Ni bosi wake?Kuna watu wanaheshimu utu wao na hawapo radhi kuuza kwa thamani ya kipande Cha fedha,
 
Ina inapoelekea utakula kulala nae,kuwa makini,na Kama Hilo likitokea itabidi umfukuze,pia wewe Ni Domo zege ,pole kwa hilo
 
Wewe kaka mleta mada sijaona adabu wala tabia nzuri kwa huyo mwanamke wa mtu. Kitendo cha yeye kuolewa na kuendeleza mawasiliano na kuombana hela na mwanaume aliyemtongoza zamani ni kosa na kujiweka kwenye hatari ya mtongozo,
Pia kitendo cha kukwambia mambo ya ndani ya ndoa yao nacho sio sawa. Ana tabia mbaya.
siyo kwamba alikuja kufanya kazi na siku hiyohiyo nikamtongoza hapana,nilimuomba jirani yangu anitafutie binti wa kazi mwaminifu,alipokuja kweli alikuwa na hari fulani ya maisha magumu,nikawa namfever kwa vitu vingi,kumuweka awe msafi alingane na marafiki zake,baada ya kuzoeana akaniambia hana mahusiano kwa miaka 3,jamaa aliyemzalisha kamtelekeza,katika kumchunguza tabia yake kwa kipindi cha miezi sita nikaona aninifaa kuwa mke wangu,nilipomwambia jibu lake lilikuwa kama ningeambiwa toka mwanzo nakuja ili uniowe ningekukubali,lakini sasa hivi wewe ni boss wangu haiwezekani
 
Unaonekana wewe ni mtoto na yeye ni mtoto.

Pili unaonekana wewe bado unampenda.

Kukukataa kwa kigezo cha kua wewe ni boss wake haikua sababu, binti hakua amekukubali hivyo akaona asingizie hiyo sababu.

Sasa cha kukushauri, usiendeleze mawasiliano nae ya karibu. Kaa nae mbali.

Mwambie ajali familia yake na mume wake. Wewe kua bize na mambo yako. Tafta mwanamke mwingine uoe.
Huu sasa ndiyo ushauri wa maana!
 
siyo kwamba alikuja kufanya kazi na siku hiyohiyo nikamtongoza hapana,nilimuomba jirani yangu anitafutie binti wa kazi mwaminifu,alipokuja kweli alikuwa na hari fulani ya maisha magumu,nikawa namfever kwa vitu vingi,kumuweka awe msafi alingane na marafiki zake,baada ya kuzoeana akaniambia hana mahusiano kwa miaka 3,jamaa aliyemzalisha kamtelekeza,katika kumchunguza tabia yake kwa kipindi cha miezi sita nikaona aninifaa kuwa mke wangu,nilipomwambia jibu lake lilikuwa kama ningeambiwa toka mwanzo nakuja ili uniowe ningekukubali,lakini sasa hivi wewe ni boss wangu haiwezekani
Mbona hadithi ndefuu
Sisi tunashangaa mtu anaolewaje halafu anaomba tena hela kwa mwanaume mwingine na kumshirikisha mambo yake ya ndani halafu bado unamuita mwenye tabia njema
 
Nimempa vitu vingi sana, kabla ya kumtamkia kama ninataka kumuowa maana maisha yake yalikuwa kidogo changamoto,lakini namuona bado anataka niendelee kumsaidia wakati ana mume wake
Kakuona wewe zuzu ndomaana, ungekuwa ni mwanaume kamili mwenye msimamo asingethubutu kuomba. Afu unaruhusuje demu unayempenda aolewe na mwingine?
 
yaani nimuache waje watongoze wengine wakati mda wote wakati yuko na mimi nilikuwa namsoma tabia yake nikalizika naye
Sasa mbona umeruhusu atongozwe na kuolewa na mwingine we vipi
 
Hizo ni dharau...!!! Hakikisha unapokuwa na mfanyakazi yoyote yule wa kike unamla kwanza kabla ya yote...
 
Shida zako zipo hapo ulipodhani/kuhitaji maoni ya wanawake tu katika hili, au pengine unajua unachokifanya. Kila la kheri, mkuu.
 
Back
Top Bottom