Naomba kuuliza, kura tunapigia UKAWA au CHADEMA?

Ni muunganiko wa hivyo vyama ulivyotajiwa[/QUOTE

Basi kura ni siri yangu naona mnatuchanganya,sijui walipokuwa wanapigia chepuo ukawa waliwaelimisha vizuri wananchi mwaka huu tunawapa nchi kiulaini tena Ccm.
 
Mleta mada unazingua acha kutuyeyusha. Kiukweli huwezi kuwa na ufahamu wa kutumia jf ukashindwa kujua nini maana ya ukawa katika uchaguzi ujao. Acha hizo bana be serious cause ama sure wewe sio bodaboda
 
Ukawa ni muungano usio rasmi kisheria unaounganisha vyama vya upinzani vya mainly CDM,CUF na NCCR.Mgombea yeyote aliyeko kwenye vyama hivyo awe wa urais,mbunge au diwani mpigie kura.
Hivi kura tutapigia UKAWA au CHADEMA?

Majibu tafadhali........
 
Wee popoma ukiona karatasi ya kura ina jina ukawa piga kura, ukiona haina jina ukawa nenda kachambe ulale, maswali ya kitoto hayo kaulize watoto wa chekechea
 
Utaipigia chadema kwa urais ubunge inategemea kama jimbon kwako kama ni wa cdm basi mpigie kura huyo na udiwan hvyo kama ni wa cuf au nccr bas mpe kura yako.
Naona mmedhamiria kuipa nchi CUF, ukisoma viziri ibara 37(5) ya katiba ya JMT utaghairi kumpigia kura lowasa.
 
Mleta mada unazingua acha kutuyeyusha. Kiukweli huwezi kuwa na ufahamu wa kutumia jf ukashindwa kujua nini maana ya ukawa katika uchaguzi ujao. Acha hizo bana be serious cause ama sure wewe sio bodaboda

Tatizo Ndugu Zetu Nyie Zile Tafiti Za Twaweza Nyie Mlichukuwa Kipengele Kimoja Tu,cha Magufuli Kushinda Mkakikomalia Wee Mpaka Basi.Lakini Mlisahau Tafiti Zilionyesha Watz Wangapi Wanajua Ukawa Ni Chama Na Wataliona Jina Ukawa Kwenye Karatasi La Kupigia Kura,sasa Wasipoliona Jina Ukawa Two Things May Happen,watapigia Ccm Au Kura Itaharibika.Ndugu Zetu Nyie Acheni Kulalamika Kwa Kila Kitu Kinacholetwa Mezani,just Learn From Them And Move On .....!!
 
Mleta mada unazingua acha kutuyeyusha. Kiukweli huwezi kuwa na ufahamu wa kutumia jf ukashindwa kujua nini maana ya ukawa katika uchaguzi ujao. Acha hizo bana be serious cause ama sure wewe sio bodaboda

Mimi ni bodaboda na ninajua maana ya ukawa na nina ufahamu wa kutumia jf kawaida tu acha zarau bana.
 
Back
Top Bottom