Naomba kuuliza, kuna Kiongozi yeyote wa Afrika anatumia mabavu kuongoza kwa kuamini Russia na China watamsaidia likimkuta? This is a shame!

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,098
Reaction score
801
Habari ya Sunday wana GT!
Nimetafakari sana kuhusu Ongozi (sio sanifu) zetu za kiafrika za kutumia nguvu nyingi kupitiliza kwa kukandamiza uhuru wa Raia na mali zao. Hii imekuwa ni kawaida kwa viongozi wetu wa kiafrika na wale wanaotoka Dunia ya tatu na ya kwanza nje ya Afrika wenye viashiria vya Ujamaa kama Cuba, Russia, Iran, China, Puerto Rico, Venezuela (past), Colombia, North Korea n.k.

Viongozi wamekuwa wababe kupitiliza kitu ambacho kinapelekea kuchukiwa na Raia.

Leo PLOII nitoe Somo kidogo kwa hawa wababe kwa Raia wao Trump akitia Mguu ubabe na ulinzi wao unayeyuka kama Barafu ya Congo Basin.

1. Viongozi wetu Usalama wa kwanza ni kuishi na Raia wako vizuri. Adui akiona unapendwa wanaweza kusogeza siku za kukumaliza au hata kushindwa kabisa mfano Hugo Chavez huu mtihani alishinda lakini Maduro kwa kiburi kapita angle mbovu sasa yupo kwenye ukuta mzito hana tofauti na Mende aliyeingia ndani ya Box.

2. Viongozi ni lazima tutengeneze mifumo ya kiutawala kila mtu awajibike sio kuwa na watu walio juu ya katiba wanafanya wanachotaka, ukweli ni kuwa bila National Cohesion, Solidarity & Integrity no security anymore.

NB: Viongozi wetu Russia hawezi kukupa hakikisho la kudumu la Ulinzi kwa sababu hata Putin anaishi kama Joka la Mdimu ni kiongozi ambaye amechokwa na watu wake na Fisadi Mfano mzuri, Wegner Group ni kikundi bora sana cha kupigana Putin aliamini ndicho kikundi sahihi cha kumsaidia lakini hakukuwa na Mwisho mzuri na 2023 Yevgeny Victorovich Prigozhin akapotezwa. Kiongozi kama Putin hana tofauti na Ayatollah Ali Khamenei au Maduro au Xi wanaishi kwa kubana watu na kuua wakosoaji wao. Unapotengeneza Adui ndani ya Taifa haupo Salama mfano mzuri Iran Top existing & Ex leaders became informers to CIA & MOSSAD Na hao ndio wametoa mchongo alipo Khamenei Mossad wakatupa Kiazi Mbatata.

Hii ni kusema Russia na China sio washirika sahihi linapokuja suala la Ulinzi na Usalama kwa Mshirika wao bado na wao wanajitafuta.

Tukubali kuwa Trump akiamua kumnyakua yeyote anaweza tofauti kuna sehem atafanya Operation ya siku 1 na nyingine 5.

Mwisho:
Viongozi wa Kiafrika Jifunzeni kuna yule Mzee M7, Kiir wamechoka lakini kuchinja watu sio shida kwao mnaacha Legacy mbaya, it is a stern to state their Equivocal Leadership.

Tusidanganywe kuwa Russia ni mbabe wa Vita. Russia alishindwa kutoa full control kule Afghanistan 1979, Russia Mshirika wake Colonel Muammar alishindwa kumlinda 2010-2011, Russia kashindwa kuwalinda Houths, Likud, Russia kashindwa kumlinda Bashar Assad kule Syria, Russia kashindwa kumlinda Nicolaus Maduro, Russia kashindwa kulinda usalama wa Mwamba sana A Supreme Leader ever on Earth Ayatollah Ali Khamenei.

Russia alipigwa na Japan Feb 1904 -Sep 1905 "Russo- Japanese War" chini ya Tsar Nicolas II against Emperor Meiji.
Russia alipigana Vita kubwa ni ile ya kumwondoa Kiongozi wa Kinazi na Fascist leader from Italy Adolf na Benito, naweza kusema kwa sababu ya kutengeneza internal insecurity ilikuwa rahisi Germany and Italy to be Languished miserably. Mbali na hivyo Russia kashinda Vita gani na hii ya Adolf Aloyce Hitler ni kwa sababu ya Triple Entente na USA akiwemo kama Weapons Supplier.

China ndio takataka kabisa kwenye Medali ya kivita hana uzoefu wowote ni sawa na India. Kihistoria Japan kamchapa sana kipindi cha Hirohito so Viongozi wetu pendeni watu wenu ili mpate hakikisho la Usalama. USA daily yupo Mzigoni mwamba ana uzoefu na washirika watiifu Je sisi wengine?
 
IMG-20260225-WA0093.jpg
 
Yule wa Burkinabe naona Mungu alikuwa upande wake.Marekani akaona wacha mambo yasiwe mengi lakini kuside na Russia au China na ukajifanya mbabe unajichimbia kaburi lako.Washenzi wanakimbia matatizo ya kikupata hawaaminiki.Just imagine jana France,New zealand,Australia walikuwa tayari kutoa back up kwa Israel na US kama ingehitajika lakini sio China au Russia kwa Iran
 
Kuna mikataba inayoitwa mutual defense pact.

Ambapo mataifa 2 au zaidi yanakubaliana kupeana msaada wa kijeshi endapo mojawapo litavamiwa.

China imeingia mkataba huo officially na taifa moja tu duniani, nalo ni North Korea.

Siku taifa lolote likithubutu kuigusa North Korea hapo sasa China ina kila sababu kurejea mkataba wa 1961 wa mutual assistance.

Ndio maana hautasikia hata siku moja Marekani ikapanga kuivamia North Korea pamoja na taifa hilo kutengeneza silaha za nyuklia na kufanya majaribio ya ICBM tena wakati fulani karibu na mipaka ya washirika wa Marekani yaani South Korea na Japan.
 
Kaa chini halafu piga calculation uone kama imekaa sawa hiyo..?
nchi kubwakubwa hesabu zao sivyo kama unavyofikiria wao ni kugawana vi nchi vidogo nakuvitawala ama kupandikiza mambo yao wale hawaingiliani maana wanajua nini kitatokea ambapo wakifanya hivyo na inaweza kuwa patapotea kwa yoyote yule kitu ambacho ni hasara kwao na hawapo tayari kwa hilo.
 
Hakuna cha mkataba wala nini China ni bahili tu na mchoyo. Anaogopa kupoteza hela kwenye vita eti atafilisika. Hakuna cha mkataba wala nini.
 
Africa hakutabiriki mkuu,

Marekani na maguvu yake huwa akija huku anaaibika.

Somalia alipeleka special forces na bado alikula kichapo heavy.

Kule Chad, wanajeshi wa marekani nako vile vile walikumbana na kichapo.

Marekani kapeleka special forces Uganda kumtafuta Joseph Kony mpaka leo hakuna kitu.

Africa sio kama huko kwa waarabu, hivyo utafikiri mara mbili kuleta jeshi kwingine.
 
Kuna mikataba inayoitwa mutual defense pact.

Ambapo mataifa 2 au zaidi yanakubaliana kupeana msaada wa kijeshi endapo mojawapo litavamiwa.

China imeingia mkataba huo officially na taifa moja tu duniani, nalo ni North Korea.

Siku taifa lolote likithubutu kuigusa North Korea hapo sasa China ina kila sababu kurejea mkataba wa 1961 wa mutual assistance.

Ndio maana hautasikia hata siku moja Marekani ikapanga kuivamia North Korea pamoja na taifa hilo kutengeneza silaha za nyuklia na kufanya majaribio ya ICBM tena wakati fulani karibu na mipaka ya washirika wa Marekani yaani South Korea na Japan.
Marekani haangalii hicho , anaweza kunyonya damu yeyote awe ptn awe china awe huyo korea. We endeleea kujitoa ufahamu
 
Yule wa Burkinabe naona Mungu alikuwa upande wake.Marekani akaona wacha mambo yasiwe mengi lakini kuside na Russia au China na ukajifanya mbabe unajichimbia kaburi lako.Washenzi wanakimbia matatizo ya kikupata hawaaminiki.Just imagine jana France,New zealand,Australia walikuwa tayari kutoa back up kwa Israel na US kama ingehitajika lakini sio China au Russia kwa Iran
Ndicho tunachosema hakikisha upo na
Kuna mikataba inayoitwa mutual defense pact.

Ambapo mataifa 2 au zaidi yanakubaliana kupeana msaada wa kijeshi endapo mojawapo litavamiwa.

China imeingia mkataba huo officially na taifa moja tu duniani, nalo ni North Korea.

Siku taifa lolote likithubutu kuigusa North Korea hapo sasa China ina kila sababu kurejea mkataba wa 1961 wa mutual assistance.

Ndio maana hautasikia hata siku moja Marekani ikapanga kuivamia North Korea pamoja na taifa hilo kutengeneza silaha za nyuklia na kufanya majaribio ya ICBM tena wakati fulani karibu na mipaka ya washirika wa Marekani yaani South Korea na Japan.

Raia wako pamoja though na yeye ana ubabe naona kafuta na vyama vya Siasa kwa hilo tu hatadumu hapo na USA hawajaamua.
Kaa chini halafu piga calculation uone kama imekaa sawa hiyo..?
nchi kubwakubwa hesabu zao sivyo kama unavyofikiria wao ni kugawana vi nchi vidogo nakuvitawala ama kupandikiza mambo yao wale hawaingiliani maana wanajua nini kitatokea ambapo wakifanya hivyo na inaweza kuwa patapotea kwa yoyote yule kitu ambacho ni hasara kwao na hawapo tayari kwa hilo.
Just for Reminder , Iran sio Taifa dogo. Nitakuelewa ukisema Nchi kama Russia ni Mshirika mzuri wa USA na Israel kwenye Mutual Interest.
 
Geo politics niko fresh. China ni kubwa jinga tu hana lolote. Ndio maana wananchi wake wanazamia western countries.
Umetoka kwenye hoja sasa umejiona ulivyo mwepesi kwenye medani za geopolitics. Nilidhani utakuj na hoja ya kupinga nilichokisema umeanzisha jambo halihusiani kabisa na mjadala wetu
 
Raia wako pamoja though na yeye ana ubabe naona kafuta na vyama vya Siasa kwa hilo tu hatadumu hapo na USA hawajaamua.
Ingekuwa kuamua tangu kipindi cha Bush wangeamua. Bado America wanasumbuliwa na nightmare ya vita vya Korea na North Vietnam na wakati huo China haikuwa advanced kwenye silaha za kivita
 
Kuna mpumbavu mmoja kobaz hapo tanzagiza alisema 'who are you'

Sasa huyu akishauawa, watuletee mwili wake tumfir3 kwanza ndo tumzike.
 
Marekani haangalii hicho , anaweza kunyonya damu yeyote awe ptn awe china awe huyo korea. We endeleea kujitoa ufahamu
Marekani anaangalia hicho ndio maana ni member wa NATO ushirika ambao una mutual assistance treaty

Liguse taifa lolote la NATO kama hautaona Marekani ikiingilia kati na washirika wenzake

Hawezi kuigusa North Korea tangu imeanza kuunda vinu vya nyuklia walikuwa kimya, wakatengeneza nyuklia wako kimya na mpaka anatest nyuklia wako kimya
 
Kuna mikataba inayoitwa mutual defense pact.

Ambapo mataifa 2 au zaidi yanakubaliana kupeana msaada wa kijeshi endapo mojawapo litavamiwa.

China imeingia mkataba huo officially na taifa moja tu duniani, nalo ni North Korea.

Siku taifa lolote likithubutu kuigusa North Korea hapo sasa China ina kila sababu kurejea mkataba wa 1961 wa mutual assistance.

Ndio maana hautasikia hata siku moja Marekani ikapanga kuivamia North Korea pamoja na taifa hilo kutengeneza silaha za nyuklia na kufanya majaribio ya ICBM tena wakati fulani karibu na mipaka ya washirika wa Marekani yaani South Korea na Japan.

Endelea kujidanganya.

USA anaweza kupigana na nchi zote duniani kwa wakati mmoja na anashinda mchana kweupe.
 
Kuna mikataba inayoitwa mutual defense pact.

Ambapo mataifa 2 au zaidi yanakubaliana kupeana msaada wa kijeshi endapo mojawapo litavamiwa.

China imeingia mkataba huo officially na taifa moja tu duniani, nalo ni North Korea.

Siku taifa lolote likithubutu kuigusa North Korea hapo sasa China ina kila sababu kurejea mkataba wa 1961 wa mutual assistance.

Ndio maana hautasikia hata siku moja Marekani ikapanga kuivamia North Korea pamoja na taifa hilo kutengeneza silaha za nyuklia na kufanya majaribio ya ICBM tena wakati fulani karibu na mipaka ya washirika wa Marekani yaani South Korea na Japan.
North Korea was just a timing otherwise angepigwa China yupo. Mchina nje ya Technolojia ya Uchuzi kwenye Medani za Kivita anazidiwa hata na Yemen na Afghanistan labda wanakosa Economic driven -missile facilities.
 
Back
Top Bottom