Unajua wengi wanatumia tu thursday sjajua kwa nn **** zile mcm wcw kama ntakua sahihi
ubaya wa sisis watz hua tunapenda kuiga kila kitu na kujifanya tunajua kumbe wakati mwingine ni bora tu ukawa mshamba ukauliza hapo ndo uanze kutumia neno fulani
lkn ukifuatilia hyo vizuri kwa wenzetu wa mbele wao wanaita internet shortcuts wengine wanaweka hyo TBT wakimaanisha Truth been Told
Unajua wengi wanatumia tu thursday sjajua kwa nn **** zile mcm wcw kama ntakua sahihi
Hapo kwenye red. Duhhh...patamu sana.
kuuliza si ujinga kila mtu siku hzi aki upload picha anaandika tbt kwani manaake ni nini
tabata
throw back Thursday
kuuliza si ujinga kila mtu siku hzi aki upload picha anaandika TBT kwani manaake ni nini
Dah Lugha hii iliyokuja na Meli ina mambo kweli...yan ukisoma neno kama lilivyo linaeleweka ila maana nyingine kabisa...sasa Thursday inaingiaje hapo kweny picha zlizopita wakat Thursday ni Alhamis dah!
Acha uwongo bana,ni throw back time
Nimecheka sana mkuuu hilo sjui kwa kweli
Unajua wengi wanatumia tu thursday sjajua kwa nn **** zile mcm wcw kama ntakua sahihi
FYI na BTW kirefu chake sikijui ila naona yakitumika sana huku jf,msaada tafadhali km unafahamu kirefu chake.
Throw back time ndugu
mxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxiew
Umepotea dogo
Ni throw back thursday....
Au Truth Be Told
Baaas