Naomba kutoa somo kidogo pale mwili unapotengana na roho

Haya ni maawazo yako na hisia zako tu...

Laiti ungetumia reference ya Biblia - Neno la Mungu aliye hai mimi ningeelewa...

Lakini haya ni pure mawazo ya kishirikina tu...
 
Vitabu vyao vinafundisha nini ? ,hili ndiyo swali nililokuuliza,yaani kusema Imani si jibu sahihi, sababu kuna imani nyingi.
Vitabu vyao vinafundisha mengi sana mojawapo ni kumjua Mungu na kumuabudu.
 
Kuna ukweli mwingi hapa, ndiyo maana wazee wa zamani walikuwa wakikaribia kufa hata kama yupo hospitali wakakuambia nipelekeni nyumbani nikapumzike.
Unforgetable
 
Kuna ukweli mwingi hapa, ndiyo maana wazee wa zamani walikuwa wakikaribia kufa hata kama yupo hospitali wakakuambia nipelekeni nyumbani nikapumzike.
Unforgetable
Kabisa mkuu. Na hii inadhihirisha kwamba hata afrika kuna mitume au wadhihirishaji waliozaliwa huku afrika ambao walitufundisha ustaarabu kulingana na uelewa wa binadamu wa zama hizo.
 
Kwaiyo iyo roho inanyemelea mwili wake kote uko unapoenda kwa usafiri gani au inaelea juu. Ila waislam maelezo yao kuhusu kifo ni ovyo sana...
 
Kwa imani ya kiislam, nimesoma kwamba mitume wanapokufa yaani popote wanapofia, au pahali anapokata roho ndio pahali ambapo Allah kapachaguwa azikwe. Mfano Mtume Muhammad (SAW) alizikwa hapo hapo alipofia, ndani ya nyumba ya bibi Aisha katika same spot aliokufia. Wallahu yaalam.
 
Duuh kwa hiyo sasa roho imebaki Dar, Dodoma au nayo iko Z'bar? Au imepoteza uelekeo kabisa?
 
Kabla ya biblia unadhani binadamu alikuwa hana maafundisho juu ya Mungu?

1. Nitakujibu, lakini ukipata nafasi jitahidi utafute maana ya neno "Biblia"

2. Wewe umeandika kwa assumption na mawazo yako. Huna reference yoyote uliyotumia. Mimi ni Mkristo na reference ya imani yangu siku zote ni "NENO LA MUNGU" na sisi tunaita "Biblia"

3. Jibu la hoja hii tunalipata hapa:

YOHANA 1: 1 - 3

"....Hapo mwanzo kulikuwako NENO. Naye NENO alikuwepo kwa Mungu. Naye NENO alikuwa Mungu. Huyo MWANZO alikuwapo kwa Mungu. VYOTE vilifanyika kwa huyo. Wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika..."


4. Soma mstari huu wa mwisho kwa umakini maana ndipo lilipo jibu la swali lako;

"...wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika..."

å Hii maana yake NENO = MUNGU = YESU KRISTO ambaye ndiye chanzo cha IMANI yetu alikuwepo hata kabla mimi na wewe hatujaumbwa...!!

å kumbuka hili pia, kila ukionacho ulimwenguni na usivyoviona vilitokea (umbwa) kwa kutamka (NENO) tu iwe jua, jua likatokea; iwe hiki au kile, vyote vilitokea...!

å NENO ndiyo uhai wa kila kitu, ndiyo kila kitu ktk maisha yetu, NDIYO IMANI YETU...

å Nawe Konda msafi, badilika acha imani za kishirikina zilizojengwa katika mawazo na theories za kibinadamu. Mwamini NENO (Yesu Kristo) nawe utapata maarifa sahihi na kuokoka...!!!
 
Back
Top Bottom