mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
- Thread starter
- #41
Nimekuelewa mkuu,ingawa mtu binafsi ndiye anayeathiri taifa(iwe -ve au +ve) mfano hamuhumu jf utakuta mtu anajisifikupenda kwa mpalangeHapo sikutaja au kushadidia Taifa, nchi au kundi!!
Nimetoa faida za Mtu (binafsi) mwenendo wa binaadamu aliye kamilika...
Kabisa mkuuDini ni msaada kwa watawala na viongozi kuwatawala kijamii,kisiasa na kiuchumi watu walio chini yao!!!Wakatoliki hiyo unaiona wazi kabisa tena kama una akili timamu hata kwa waislam ivo ivo!!Masuala ya uzima wa milele na peponi kama zawadi kwa wafia dini hayana LOGIC !!JIULIZE :-Inakuaje mtu aishi miaka labda 60 afe halafu ahukumiwe kwa miaka isiyoisha yaani milele anachomwa moto kwann asihukumiwe kwa miaka 60????