Naomba kutajiwa faida za dini

Naomba kutajiwa faida za dini

Kuwaongoza watu wanaoamini katika Mungu ni rahisi zaidi?
 
  1. ) Hukujenga kiimani ya kumjua na kumtumikia Muumba
  2. ) Hukujenga kiimani kutambua ya kuwa siku ya hukumu kutakua na ufufuko wa kiroho kwa kila mwanadamu na kwa wale waliofuata amri za Muumba basi watakwenda kuishi naye daima na milele huko mbinguni .
 
Hakuna hasara kuwa na dini.
Kuwa na ndugu wa kuja kukufaraji ukipata matatizo,
Kuwa na uhakika wa kuzikwa na kundi la watu.
Kutarajia pepo japo hakuna mwenye uhakika kuwa ataingia huko peponi.
Kupuuzia mambo ya dunia kama pombe,majungu, wizi riho mbaya, uzinzi nk.
Kuwa na upendo.
Kusaidia wasiojiweza.
Kuwa na upeo wa dunia nk
Kutokuburuzwa na mafisadi waliounda serikali mfano Al shabab l, hawataki kuendeshwa na serikali bali kujiamulia cha kufanya.
Kufanya meditation(sala), hii huleta utulivu wa akili.
Kuishi popote ili mradi kuna mwanadini mwenzako.
Mkiristo akienda nchi yoyote ya ulaya anaweza kuishi kwa kupata saport kutoka kwa waumini.
Kupata misaada kutoka ng'ambo ulaya na uarabuni.
 
Mpaka sasa nafikisha miaka 43,nimeijua moja tu,nayo ni kusaidia kwenye elimu, nje ya hapo sijaona
Hapa nazungumzia UKRISTO NA UISLAMU.
Faida zake:-.
Kuishi kwa Amani
Kuishi kwa maadili
Kuishi na binadamu wenzio (ndg. Jirani, wenza,nk nk) kea heshima na muamala, desturi.
Kutii amri za Muumba na kuomba msamaha unapohisi au kukosea..
Kutunza familia yako bila kubaka wanao!!! (Niwieradhi)
Kujenga matumaini ya ahera (maisha baada KIFO chako)

Karibu nikutsmbulishe Mwenyezi Mungu na sifa zake.
 
  1. ) Hukujenga kiimani ya kumjua na kumtumikia Muumba
  2. ) Hukujenga kiimani kutambua ya kuwa siku ya hukumu kutakua na ufufuko wa kiroho kwa kila mwanadamu na kwa wale waliofuata amri za Muumba basi watakwenda kuishi naye daima na milele huko mbinguni .
Mbona visa vinavyoashiria ukosefu wa hicho unachokizungumzia vipo vingi tu
 
Ndo maana nikasema ni Imani kwamba kama utachagua kuamini basi ufuate hiyo miongozo ya kidini na kama utachagua kutokuamini basi uishi tu mpaka mwisho wa maisha yako utakufa na kuzikwa kwa imani unayoichagua na kuifuata.
 
  1. ) Hukujenga kiimani ya kumjua na kumtumikia Muumba
  2. ) Hukujenga kiimani kutambua ya kuwa siku ya hukumu kutakua na ufufuko wa kiroho kwa kila mwanadamu na kwa wale waliofuata amri za Muumba basi watakwenda kuishi naye daima na milele huko mbinguni .
mbinguni Ni wapi?
 
Hakuna hasara kuwa na dini.
Kuwa na ndugu wa kuja kukufaraji ukipata matatizo,
Kuwa na uhakika wa kuzikwa na kundi la watu.
Kutarajia pepo japo hakuna mwenye uhakika kuwa ataingia huko peponi.
Kupuuzia mambo ya dunia kama pombe,majungu, wizi riho mbaya, uzinzi nk.
Kuwa na upendo.
Kusaidia wasiojiweza.
Kuwa na upeo wa dunia nk
Kutokuburuzwa na mafisadi waliounda serikali mfano Al shabab l, hawataki kuendeshwa na serikali bali kujiamulia cha kufanya.
Kufanya meditation(sala), hii huleta utulivu wa akili.
Kuishi popote ili mradi kuna mwanadini mwenzako.
Mkiristo akienda nchi yoyote ya ulaya anaweza kuishi kwa kupata saport kutoka kwa waumini.
Kupata misaada kutoka ng'ambo ulaya na uarabuni.
haya yote unaweza kuyapata hata bila kuwa na dini
 
Faida zake:-.
Kuishi kwa Amani
Kuishi kwa maadili
Kuishi na binadamu wenzio (ndg. Jirani, wenza,nk nk) kea heshima na muamala, desturi.
Kutii amri za Muumba na kuomba msamaha unapohisi au kukosea..
Kutunza familia yako bila kubaka wanao!!! (Niwieradhi)
Kujenga matumaini ya ahera (maisha baada KIFO chako)

Karibu nikutsmbulishe Mwenyezi Mungu na sifa zake.
Mkuu Iran,Israel,Iraq,Syria amani hakuna
Upande wa maadili angalia wadangaji,washerati, wezi,Mafisadi,WANASIASA wao ni zero
 
Back
Top Bottom