mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,518
- 19,885
Mimi nimekueleza clear kwamba hakuna watafsiri wa ndoto za kweli ,zaidi ya kudanganywa tu.Iyo kujua kuliko Mungu wewe ndio umesema!
Me nimesema ufalme wa Mungu upo ndani yako kama unabisha we bisha tu!
Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
Mwenye uwezo wa tafsiri ni mungu mwenyewe akuonyeshe.