Naomba kutafsiriwa ndoto hii

Hivi kuna siku ulishawahi kuota umeokota pesa ukiwa usingizini?

Je uilipoamka zilikuwapo?

Hizo ni ndoto tu Mkuu,, ila usimwamini mpnz wako ktk mahusiano kwa 90%.

Mapenzi ni kamari...
Kila ndoto ina ishara zake na maana zake waulize wanajimu
 
Wewe ndio utakuwa unamfikiria kuwa kakudanganya. Seems like you love him but you don't trust him na hii ndio inakupelekea ubongo kukupa ndoto za design hizo.
 
Kabla ya kushusha thread tafadhali nishushie yangu
Binadamu ana miili miwili, mwili wa kiroho na mwili wa damu na nyama. Kupitia hili binadamu anaishi katika ulimwengu wa aina mbili, ulimwengu wa kiroho na ulimwengu wa kimwili.

Ulimwengu wa kimwili ni huu tunaoishi na kulumbana hapa jamiiforums na kadhalika.
Ulimwengu wa kiroho ni ule tunaoishi kupitia ndoto.

Kwahiyo hali ya kuota ndoto jua kuwa upo katika ulimwengu wa kiroho, sasa ndoto inaweza kuwa inatokea, ilitokea au itatokea.

Ndoto iliyotokea ni ile ambayo unawaza kitu sana au ulipita muda mrefu bila kulala.
Ndoto inayotokea ni ile ndoto ya tukio linalotokea muda huo huo.
Ndoto itakayotokea hii huonyesha ukubwa na nguvu ya mwili wako wa kiroho kwenye maono.

N.B Ndoto huashiria upo rohoni ila kukosa misimamo na maamuzi katika ndoto ni dalili mbaya za maisha yako.
 
Wanasema kwamba ukiota ndoto Ni kwamba unajulishwa Jambo lijalo, lililopo na linalokuja, hivyo ndoto Ni halisi.sijui Kuna ukweli hapa
Lijalo na linalokuja ni kitu kilekile umechanganya nyakati
Iliyotokea (wakati uliopita)
Inayotokea (sasa hivi)
Itayotokea ( wakati ujao)

Hata hivyo nimefafanua japo kwa uchache
 
T
Binadamu ana miili miwili, mwili wa kiroho na mwili wa damu na nyama. Kupitia hili binadamu anaishi katika ulimwengu wa aina mbili, ulimwengu wa kiroho na ulimwengu wa kimwili.

Ulimwengu wa kimwili ni huu tunaoishi na kulumbana hapa jamiiforums na kadhalika.
Ulimwengu wa kiroho ni ule tunaoishi kupitia ndoto.

Kwahiyo hali ya kuota ndoto jua kuwa upo katika ulimwengu wa kiroho, sasa ndoto inaweza kuwa inatokea, ilitokea au itatokea.

Ndoto iliyotokea ni ile ambayo unawaza kitu sana au ulipita muda mrefu bila kulala.
Ndoto inayotokea ni ile ndoto ya tukio linalotokea muda huo huo.
Ndoto itakayotokea hii huonyesha ukubwa na nguvu ya mwili wako wa kiroho kwenye maono.

N.B Ndoto huashiria upo rohoni ila kukosa misimamo na maamuzi katika ndoto ni dalili mbaya za maisha yako.
Thanxs nimekuelewa
 
[/QUO
Means kwa maelezo haya Ni wazi jamaa ananifanganya mambo mengi
 
Means kwa maelezo haya Ni wazi jamaa ananidanganya mengii
 
Ni ishara ya udanganyifu hapo uaminifiu ni athilimia 20-40)Basi hata sasa utambue,huyo ni msanii.
Hauko peke yako,yupo mwenzako pia anamtambua kwa jina jingine.
Upo kwny mchezo unachezeshwa,mpk siku utakapo gundua ndipo itakuwa stering anatoka msituni.
 
Thanks
 
Kila ndoto ina ishara zake na maana zake waulize wanajimu
Wengi ni wazinguaji tu...tafsiri ya ndoto ajuaye ni muumba wa mbingu na ardhi ..

Wengine wote ni sawa na mganga panzi tu.
Watakudanganya kweupee,,
 
Hata wewe huoni kama unajidanganya?
Ivi hujui kwamba ufalme wa Mungu upo ndani yako?
 
Back
Top Bottom