Je kuna maeneo duniani yameshafikia siku ya christmas?

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,825
Kulingana na international zigzag line yako maeneo ambayo huwahi kuzifikia siku na maeneo megine huchelewa.
Je kuna maeneo ambayo mpaka sasa yamefikia siku ya krisimasi na mwaka mpya?
 
Hakuna hayo maeneo.....na sidhani kama kuna eneo ambalo linawahi au kuchelewa masaa 24....
 
Back
Top Bottom