Hajakosea kidogo, angekosea mojawapo angesamehewa lakini mara mbili ni wazi hajui kuhesabu hana tofauti na wale wanaoandika tangazo ukikojoa apa faini 50,0000/= ukitupa taka apa faini 50,0000/= Acha kabisa kutetea hawa ndani ya JF ya GT.
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe

Duh!! Kwa hali hii .. Kidogo inatia huzuni . katika comment za watu wote hakuna alieonyesha moyo wa kumsaidia ndugu yetu .. Wengi wameshikilia kukosea tuu... Kwa hali hii ndio nagundua Gape linalo wekwa baina ya anae jua na asiejua