Naomba kuliza.

Naomba kuliza.

janeth1

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
2,151
Reaction score
768
Ivi muungano ukivunjwa na hi sikuku ya muungano inavunjwa??
 
hakuna muungano unaovunjwa hapa...
 
Ha..ha..haa... Bestito me wala sipendi nishastafu so kwang cku zote ni skuu...
 
itakuwapo kukumbuka kuvunja union....
 
Back
Top Bottom