Naomba kukaribishwa

Mama mleziiii...taratibu basiii...



Karibu sana bibie..jina la nyumbani najua ji si ya kulipata. Kwa sasa karibu. Tutakutana up and about the forum usisahau kunijulia hali!

waooow ahsante you are so kind happy to notice you
 
ivenosa jamani karibu nakupenda halafu naomba unipm tafadhali
 
Amkia wewe, unaingia hata bila salam. Na weka picha yako mimi mod nikufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…