1. Jinsia yako?
2. Huko nyuma ulikuwa ukiitwa nani?
Naitwa ivenosa naomba kukaribishwa baada ya kuwa nachungulia kama guest kwa mda mrefu.
1. Jinsia yako?
2. Huko nyuma ulikuwa ukiitwa nani?
ahsante kwa kunisaidia
jinsia Ke
ndo nimejiunga labda jina la home siri yngu
Fasta tupia Vocha ya tiGo ya buku kumi PM kwangu nikufanyie mpango ili wadau wapitie na kukoment post zako.
kwi kwi kwi picha kwa hisan ya photographer inakuja m cc
Ha ha hapana chezea team bazazi.
Embu mkaribishe mwenzako
jinsia Ke
ndo nimejiunga labda jina la home siri yngu