Hi,wapendwa wa Jf kutoka sehem zote za Tanzania na nje pia,naomba kukaribishwa katika ukumbi huu, company yenyu ni muhim sana kwani sehem hii natumaini itanipatia marafiki mbalimbali na wakweli japo midaoni wengi wanachukulia kama sehem ya masihara lakini cyo mbaya kwani hata katika jamìi mungu katuumba na mapungufu kwa kila mmoja.ROCK CITY ndiyo maeneo yangu ya kujidai ingawa cyo home by nature"I LOVE U"