Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,075
Habari za mchana wana MMU!!!
Kuna mfanyakazi mwenzangu , amamaliza form four mwaka 1996, akapata div four, akaenda kusoma certificate, akafaulu, akasoma diploma akafaulu, sasa kapata pesa ya kujiendeleza, akaambiwa aaply kupitia NACTE. Akafuata process zote za kulipia na kudown load vyeti vyake. akaambiwa asubiri masaa 72, lakini hakujibiwa, nikamshauri aende akawaone, kufika wamemwambia hawezi kusoma bachelor kwa sababu ana pass 3 badala ya 4 kwenye cheti chake cha form four.Sasa mm nashangaa mbona walimruhsu asome certificate na Diploma? si wangemwambia arudie mtihani ili apate credit ndiyo aombe kusoma? kwa kweli amechanganyikiwa, analia tu , imebidi nimwambie aende home akapumzike. NAOMBA KAMA KUNA ANAYEFAHAMU CHOCHOTE KUHUSU HIYO SERA JE HAIWEZI KUWASAIDIA HAWA AMBAO WAMESOMA MPK DIPLOMA ILI WAWEZE KUSOMA BACHELOR?