CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
heri wanajamvi? naomba kujuzwa ni maeneo yepi ya kujidai ukiwa ndani ya bandari salama? nitakuwa huko ths w-end. . . .
plz yawe maeneo mapya hasa yaliyofunguliwa ndani ya mwaka.cos tangu mwaka uanze cjaja kuosha macho huko!
N.B. SIHITAJI KAMPANI TOKA KWA MWANA JAMVI. . . . asanteni!
Itavunda basi !
Nataka naniliu irudi......
Heee..kamsome darwin vizuri wewe!!
yani mi nmekuja mwanza afu we ndo unaondoka, mbona unanfanyia hivyo chalming wangu
yaani kukupa ofa ya kuja dar ndio umesha anza kuuliza viwanja!we njoo mambo yote nibonyeze mie kama botan ya Enter utapata majibu,cha msing uje umeiosha tu
oh sorry for u!
lakin charminglady unanitatiza,nikikunyima ofa unalalamika,nimekupa ofa ya kuja dar umeanzaa kunitibua unataka ile ofa ya kukupeleka usa na baadae uk ni delete?acha kuwa unanikwaza mapenzi hayaendi hivyo bwana!...mwaaaaa!
Kuna mtu anaweza kuniambia hii sredi inazungumzia nini? asanteni.
Kwamba kuna mfugo unaingia Tauni kutokea mkoani,, halafu unahitaji kujulishwa viwanja vya kula Bata. Halafu umeweka mkwara kwamba hauhitaji kampani (you know wara'm saying).. Kama uko Tauni Mkuu, Do ze nidful ukale kuku wa kienyeji.
All the Best from TANMO