Insider Boy
Member
- Aug 5, 2015
- 91
- 202
Habari wakuu?
Naitaji kufika ofisi za uber, kwa anejua naomba muongozo... mimi nipo Dar maeneo ya bunju
Naitaji kufika ofisi za uber, kwa anejua naomba muongozo... mimi nipo Dar maeneo ya bunju
Asante sana mkuu🙏Ukiwa bunju njoo na iyo barabaran ya moja kwa moja mpk bagamoyo road baadae Ali Hassan mwinyi mpk mjin posta lakini posta yenyewe hufiki NMB HQ pembeni Kuna jengo refuuuu VIVA Tower humo humo utawakuta chapu