Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata mbegu ya swala

Mara nying ni majaribio ya kisayansi ila siku zote species mbili zikizaa jua kiumbe atakayekuja hawez kuzaa ni km final so hybrid ni msosi tu hawawez kuzaa
Si kweli kule America kuna nyati wao anaitwa Bison amefanyiwa hybrid na ng'ombe wanazaliana sana kiasi cha pure breed wale kuwapata ni shida.

Hapa Tanzania kuna askofu flani alifuga hybrid wa nyati na ng'ombe. Hao chotara walikuwa wanazaa tena chotara wakubwa sana, mradi ulikufa sababu hao ng'ombe nyati walikuwa wakali sana kama nyati.

Ni sawa useme binadamu chotara wa kizungu na kiafrika au kichina hawazai?

Mimea chotara mingi ndiyo husumbua mbegu zake kuota tena.
 
Kuna sehemu barabarani kabla ya kuingia Mwz kuna kituo cha serikali cha hizi mambo za mifugo,niliona hybrid ya Nyati na ng'ombe wa kawaida,sijajua walizalishwa vile kwa malengo gani labda ni majaribio/nyama/maziwa lkn niliona wako poa.
Niliona Istanbul nje kidogo ya mji kuna mtu anafuga nyati hybrid na nyati tangu wadogo wanaishi kama ng'ombe anafuga kwa ajili ya maziwa.
 
Si kweli kule America kuna nyati wao anaitwa Bison amefanyiwa hybrid na ng'ombe wanazaliana sana kiasi cha pure breed wale kuwapata ni shida.

Hapa Tanzania kuna askofu flani alifuga hybrid wa nyati na ng'ombe. Hao chotara walikuwa wanazaa tena chotara wakubwa sana, mradi ulikufa sababu hao ng'ombe nyati walikuwa wakali sana kama nyati.
Ni sawa useme binadamu chotara wa kizungu na kiafrika au kichina hawazai??
Mimea chotara mingi ndiyo husumbua mbegu zake kuota tena.

Sio kweli, haiwezekani nyati (the cape buffalo) akazaa na ng"ombe (the domestic cattle), hakuna kitu kama hicho, japokuwa wote ni bovines.

Hii ni sawa na kusema kwamba ipo siku Sokwe anaweza kuzaa na mtu, kitu ambacho hakiwezekani.
 
Si kweli kule America kuna nyati wao anaitwa Bison amefanyiwa hybrid na ng'ombe wanazaliana sana kiasi cha pure breed wale kuwapata ni shida.

Hapa Tanzania kuna askofu flani alifuga hybrid wa nyati na ng'ombe. Hao chotara walikuwa wanazaa tena chotara wakubwa sana, mradi ulikufa sababu hao ng'ombe nyati walikuwa wakali sana kama nyati.
Tatizo vitu vengine bdo uvumbux sikataliani na ww ila kwenye biology kuna group of living things from kingdom to spicie kwaio kila kiumbe hai kina specie yake.

Sasa apo awali wanasayans walifanya majaribio kupandisha wanyama wenye group zinazofanana japo ni specie mbili tofaut mfano punda na farasi. Binadamu na sokwe .

Mbwa na mbweha nk ndio viumbe vilivyotoka ni mchanganyiko lkn havizai sijajua walifanya tafit gan zengine biology nilishaweka kapun toka form 4
 
Sio kweli, haiwezekani nyati (the cape buffalo) akazaa na ng"ombe (the domestic cattle), hakuna kitu kama hicho, japokuwa wote ni bovines.

Hii ni sawa na kusema kwamba ipo siku Sokwe anaweza kuzaa na mtu, kitu ambacho hakiwezekani.
Inawezekana bro ingia youtube uone wazungu hawana akil hata kidogo io ya binadamu na sokwe ndio ilileta kizazaa kilitoka kiumbe cha ajabu nusu mtu nusu sokwe.
 
Inawezekana bro ingia youtube uone wazungu hawana akil hata kidogo io ya binadamu na sokwe ndio ilileta kizazaa kilitoka kiumbe cha ajabu nusu mtu nusu sokwe

Hakuna hicho kitu, leta link hapa tuone.

"Water buffalo" na "Cape buffalo" ni bovines wanaofanana sana kuliko ng'ombe lakini nao hawawezi kuzaa.

Viumbe wanaoweza kuzaana ni lazima wawe species moja, sasa ng'ombe na Nyati sio specie moja japo ni familia moja ys Bovinae.

Katika hiyo familia wapo:-

Cattle, Cape buffalo, water buffalo, Bison, Gaur, yak.
 
Rud darasan umesoma biology form 1 group of living things hukuelewa viumbe ambao hawawez kuzaliana ni wale group mbili tofaut mfano farad na ng'ombe ila farasi na punda inawezekana fisi na mbwa inawezekana ng'ombe inawezekana binadamu na sokwe inawezekana sema hii nahic ilifutwa online kwa sababu ilienda mbali sn na ilipigiwa kelele mm mwenyewe nilishangaa km huamin nenda wikipedia ndio site nayoiamin zaid kwa mambo ya sayansi
 
Dogo, acha ubishi, It is the animals of the same SPECIE which can interbreed and not otherwise.

An ass can interbreed with a horse with only a condition the ass being male and the horse being female, they interbreed to give birth to Mule only because they belong to the same specie, the same applies to a male Lion and a female tiger (tigress) on interbreeding they give birth to a litter liger, the Lion and the Tiger all belong to the same spicie.

Nadhani sasa utaacha ubishi.
 
Kumbe tupo pamoja afu umenikumbusha mbal sn ilo neno mule hiko kiumbe ni faras punda lkn hakizai ndio nikanwambia jamaa apo juu kuwa hybrid huwa hawawez kuzaa ilo lipo waz turud kwenye mada

Tiger na lion sio same species ni same group wote ni jamii ya paka wakubwa na pia punda na faras pia sio same species japokuwa nimefurahishwa ns ufafanuz wako sikuwah kujua io condition
 
Kuna sehemu barabarani kabla ya kuingia Mwz kuna kituo cha serikali cha hizi mambo za mifugo,niliona hybrid ya Nyati na ng'ombe wa kawaida,sijajua walizalishwa vile kwa malengo gani labda ni majaribio/nyama/maziwa lkn niliona wako poa.
Ni kweli kuna ranch ya serikali jina limenitoka iko huku mwz niliwaona hawa viumbe ni wakubwa sana tofauti na ng`ombe lakin ni wapole tu kama ng`ombe sijajua kama ni pure Nyati ama ni offspring.
 
Dogo, acha ubishi, It is the animals of the same SPECIE which can interbreed and not otherwise.

An ass can interbreed with a horse with only a condition the ass being male and the horse being female, they interbreed to give birth to Mule only because they belong to the same specie, the same applies to a male Lion and a female tiger (tigress) on interbreeding they give birth to a litter liger, the Lion and the Tiger all belong to the same spicie.

Nadhani sasa utaacha ubishi.
Lions and tigers are two differentspecies. They look different, they have different lifestyles, they vocalize differently, and they generally live on different continents. Yet when they are brought together artificially, they can interbreed. Such hybrids are called tions and ligers.

Pia nimetafuta picha ya humanzee hybrid ya binadamu na sokwe naona Google wameifutilia mbali aisee ile hybrid ilinishtua sn yaan ukiona io hybrid utashangaa google huwa wanafuta vitu vilivypvuka viwango au kutisha.
 
Unawafuga kihalali. Ila siku ya siku ukiizingua serikali, wanawatumia hao hao swala, wanaanz kuwaita nyala yao. Broh fuga mbuzi tu.
Nimekusoma Mkuu ila si unakuwa na nyaraka zote za umiliki pili serikali inaongozwa na watu hakuna haja ya kuhofia binadam asiyena na mamlaka na pumzi ya uhai wake mwenyewe.
 
Sio kweli, haiwezekani nyati (the cape buffalo) akazaa na ng"ombe (the domestic cattle), hakuna kitu kama hicho, japokuwa wote ni bovines.

Hii ni sawa na kusema kwamba ipo siku Sokwe anaweza kuzaa na mtu, kitu ambacho hakiwezekani.
achaga ujuaji kijana pumba na pundamilia washawahi zaa hata hii nyati na ng'ombe inawezekana https://www.bbc.com/news/science-environment-31661920
 
Nyati mbona wanalimishwa sana India
Hata Tembo wanavuta magogo ila sisi huku bado tuko nyuma sana
Huku umasaini nyati hujichanganya kwenye makundi ya ng’ombe na kulala Zizini kabisa

Asee hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua
 
Back
Top Bottom