Naomba kujuzwa ubora wa Ipsum New Model

Habari wadau?

Nataka nibadilishe haka ka IST kangu nataka nichuke Ipsum New Model kwa ajili ya uhitaji wa Family Car. sasa kwa wenye uzoefu naomba kujua kama Ipsum iko vizuri ubora wake na hata ulaji wa mafuta maana naona nyingi 233+cc lakini na kama zina shida yoyote!

Ahsanteni
Ni gari nzuri sana hutajuta bali ulaji wa mafuta uatongezeka kwa asilimia 75 toka kwenyew hyo ist yako
 
Ipsum naipenda sana sema tatizo nachukia sana kitendo cha gear stick kukaa pembeni ya sterling, na magari yote yenye style hizo huwa najikuta nayachukia tu.
 
Back
Top Bottom