Naomba kujuzwa ubora wa Ipsum New Model

Mr_Teacher

JF-Expert Member
Feb 28, 2021
362
334
Habari wadau?

Nataka nibadilishe haka ka IST kangu nataka nichuke Ipsum New Model kwa ajili ya uhitaji wa Family Car. sasa kwa wenye uzoefu naomba kujua kama Ipsum iko vizuri ubora wake na hata ulaji wa mafuta maana naona nyingi 233+cc lakini na kama zina shida yoyote!

Ahsanteni
 
Kitu icho au sio.
800px-2001-2003_Toyota_Ipsum.jpg
 
Habari wadau?

Nataka nibadilishe haka ka IST kangu nataka nichuke Ipsum New Model kwa ajili ya uhitaji wa Family Car. sasa kwa wenye uzoefu naomba kujua kama Ipsum iko vizuri ubora wake na hata ulaji wa mafuta maana naona nyingi 233+cc lakini na kama zina shida yoyote!

Ahsanteni
Mm huwa kama kitu nimekipenda nanunua mengine yatakuja mbeleni
 
ha

pa sasa kwa family car ntapata ipi ya hizo CC na ambayo ni imara
Kwani ipsum ina siti ngapi za kubeba abiria kwa mfano, maana unaweza badili gari kwasababu ya ukubwa kubeba abiria kumbe umeongezewa sehemu ya kuweka mizigo tu idadi ya abiria ni ile ile.
 
Kwani ipsum ina siti ngapi za kubeba abiria kwa mfano, maana unaweza badili gari kwasababu ya ukubwa kubeba abiria kumbe umeongezewa sehemu ya kuweka mizigo tu idadi ya abiria ni ile ile.
Ipsuma nmeona ina uwezo wa kubeba watu saba hadi nane
 
Habari wadau?

Nataka nibadilishe haka ka IST kangu nataka nichuke Ipsum New Model kwa ajili ya uhitaji wa Family Car. sasa kwa wenye uzoefu naomba kujua kama Ipsum iko vizuri ubora wake na hata ulaji wa mafuta maana naona nyingi 233+cc lakini na kama zina shida yoyote!

Ahsanteni
Iko njema
 
IPSUM, Ni family car ambayo inauwezo,wa kubeba abiria 7, na space ya mzigo nyuma ikabaki.
IPSUM NEW MODEL SPECIFICATION ZAKE
...ENGINE CODE....2AZ...VVT i
...CC 2390
....ZIPO ZA 2WD...NA...4WD
...GARI INA CONFORTABILITY NZURI WAKATI WA SAFARI NDEFU NA FUPI PIA
PULLING YKE NI NZURI KWA KWELI
.....CHANGAMOTO ZAKE..
NI GARI NDEFU SANA. KWAIYO PARKING SPACE YAKE NI KUBWA
.....GROUND CLEARANCE YAKE NI NDOGO..IVYO NJIA MBOVU NI CHANGAMOTO..
....IPO ECONOMY KTK MAFUTA KULINGANA NA UWEZO WAKE WA KUBEBA ABIRIA..SAMBAMBA NA UZITO WA BODI LAKE ULIVYO..
.............. MSHANGAO....
WATANZANIA TULIO WENGI TUNAKIMBILIA KUSEMA INAKULA MAFUTA..KULIKO IST...NAJIULIZA...CHUKUA ENGINE YA IST ZEN UWEKE KWENYE IPSUM ILI ISILE MAFUTA UJIONEE JINSI UNAVYO FIKILIA MATOPE...
NB...GARI YENYE CARRYING CAPACITY KUBWA LAZIMA URAJI WA MAFUTA UONGEZEKE..
.....USHAURI NUNUA IYO GARI NI NZURI KWA KWELI
 
Back
Top Bottom