Naomba kujuzwa sheria ya umiliki wa silaha

Andres

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
501
791
Wakuu Habari za muda huo wako unaposoma hii

Ningependa kufahamishwa sheria na utaratibu wa kumiliki silaha kwa nchi ya Tanzania umekaeje kwa sasa ? Kwa mwenye uelewa wa hili, naomba maelezo mazuri tafadhali
 
Back
Top Bottom