Naomba kujuzwa njia za kupata SUBSCRIBERS YouTube

saidi bunduki

Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
24
Reaction score
23
Nadhani karibu Kila mtu ana/ anatamani kuwa na channel ya YouTube kwa ajili ya kuweka maudhui mbalimbali.

Na katika safari hiyo bila shaka kila mtu anatamani kuwa maarufu na kufuatiliwa na watu wengi.

Nami ni mmoja ya wahanga hao ambao wanahangaika kutafuta VIEWS na SUBSCRIBERS huko youtube.

Hapa nimekuja kuomba /kupata ushauri na msaada juu ya mambo yafuatayo.

1. Ni mbinu GANI nzuri ya kupata watembeleaji katika channel ya youtube?

2. Ni maudhui GANI hupendwa zaidi na watanzania.

3. Ni changamoto GANI nijiandae nazo katika tasnia hii?

Nadhani bila shaka humu kuna wazoefu na wabobezi wa taaluma hii.

NB
Kama nitakuwa nimekiuka maadili na miiko ya mtandao huu naomba radhi Sana.

KWA ambaye ana swali lolote juu ya hili anaweza kuuliza hapa au kuja moja KWA moja PM

NATANGULIZA SHUKRAN
 
Kama unataka kuanzisha chaneli ya mambo muhimu utachelewa sana kupata subscribers lakini kama ni mambo ya udaku mbona fasta tu, Watanzania wanapenda sana udaku...
Bishop kamaliza.

Yani wewe weka umbea tu wa mastar, na video za vitendo vichafu vichafu basi, unapiga views wengi bila kujar subscriber
 
Tatizo linaanza kwenye jina ya online tv yake unajua chagua jina zuri la biashara yako usichague jina la kutisha angalia avatar ya mleta post utagundua nilimaanisha nn
Okay nimekupata🙏🙏
 
Bando zimepanda hivi bei kuna watu wanaingia YouTube? Duh watu mna hela aisee.
 
Nadhani karibu Kila mtu ana/ anatamani kuwa na channel ya YouTube kwa ajili ya kuweka maudhui mbalimbali.

Na katika safari hiyo bila shaka kila mtu anatamani kuwa maarufu na kufuatiliwa na watu wengi.

Nami ni mmoja ya wahanga hao ambao wanahangaika kutafuta VIEWS na SUBSCRIBERS huko youtube.

Hapa nimekuja kuomba /kupata ushauri na msaada juu ya mambo yafuatayo.

1. Ni mbinu GANI nzuri ya kupata watembeleaji katika channel ya youtube?

2. Ni maudhui GANI hupendwa zaidi na watanzania.

3. Ni changamoto GANI nijiandae nazo katika tasnia hii?

Nadhani bila shaka humu kuna wazoefu na wabobezi wa taaluma hii.

NB
Kama nitakuwa nimekiuka maadili na miiko ya mtandao huu naomba radhi Sana.

KWA ambaye ana swali lolote juu ya hili anaweza kuuliza hapa au kuja moja KWA moja PM

NATANGULIZA SHUKRAN
Mpaka hapa usipo badilika uta feli!!
 
Back
Top Bottom