Mshahara wa Patron/Matron unategemea na shule husika mfano mshahara wa Patron wa Feza hauwezi fanana na wa Patron wa St Antony na wa St Antony hauwezi fanana na wa Mseru shule ambayo ndogo na haina jina.du! inamaa hapo mtu unapigika sana mana kukaa na watoto si kazi ndg