Naomba kujuzwa mbadala wa kisimbuzi cha DStv

Dstv wapuuzi kweli.

King'amuzi chao ukitaka uinjoi labda ulipie kuanzia Compact. Gharama kubwa.

Pili wanarusha movie za miaka iliyopita,na wanazirudia hizo hizo mara kwa mara. Kuna ile ya kihindi wanarusha movie za miaka ya 80 huko.

Ni kutafuta mbadala tu.
Wanarudia movie mpaka unaikariri
 
Dawa ni kuachana NAO sasa! Movie ya 19 kweusi ndo wanarudia kila leo.

Zaidi ya Soccer, hamna jingine! Sasa kulipia hivyo vifurushi wa soccer tuwaachie wenye Bar na kumbi za kuonesha mpira, sisi tukajazane huko kwa buku tu!
Hiki ndio kinaendelea south Africa wateja wa premium package wamepungua hasara imekuwa kubwa
 
Habari za muda huu wakuu,

Naomba msaada wenu, nahitaji kuacha kitumia king'amuzi cha DStv kwa sababu ya kupandisha gharama zao kila siku, yaani hawatabiriki.

Naamini wengi tupo kwenye hii kadhia kwa sasa. Penye wengi pana mengi, karibuni tusaidiane alternatives.
Hahaa... Mkuu mi pia nimepigiwA cm..

Asa tufanyeje.!

Ndo tushawapenda..
😅🤣
 
Mm nilikuwa na mpango wa kuwapiga chini ila shida ni watoto wangu wameizoea sana, kuna cartoon nyingi ambazo wanazipenda sidhani kama huko kwingine watazipata. Hawa jamaa kwenye compact walikuwa 44k wakaja 49k wakenda 56k sasa wameingia 60k ndani kama ya miaka miwili hivi. Ukiangalia hili ongezeo ni kubwa kwa huu muda mfupi basi tu tunachulia poa, alafu bado wanakunyima Uefa Champions League
Chukua azam mkuu
 
Download akili akili mkuu wawe wanaangalia hizo hayo pj mask sofia nk achana nao mie silipii tena
 
Hakuna mbadala wa DStv ila DStv ndio mbadala wa kila aina nyingine za visimbuzi.

Canal plus ni mbadala wa DSTV na ndio maana unaona DSTV wanamzuia Canal Plus asipate usajili Tanzania kwa maana anajua Canal akisajiliwa DSTV kwisha habari yake atakuwa kama Continental au Zuku

Dstv wanatumia nguvu kubwa sana kupitia vigogo kwenye ile mamlaka kuwazuia canal plus ambayo ni mbadala sahihi kwake tofauti na Azam wanavyosema wadau kuwa ndio mbadala wa DSTV

Canal plus ni zaidi ya DSTV uliza kwa wadau utaambiwa
 
Back
Top Bottom