Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,071
JAMAN NAOMBA MNIKUMBUSHE YALE MAJINA YA WATU WALIOJIANDIKISHA ZAID YA MARA MOJA KWENYE MFUMO WA BVR YALIISHIA WAPI KWA MAANA NILISKIA YASHAFIKA KWA IGP MARA KWA DPP, cjapata mrejesho wake mpaka leo hii na wenye hizo kadi mbili mbili tunawaona kitaan wanakula kwanja tu..