Ni hao kama kobe wana gamba gumu bila mnofu ya kutosha, lobster, crab, musslor ni jamii hiyo.
Hapo kuna changu, vibua,tuna kambale,tilapia,Sangara,barakuda ukienda Feri ndo balaa utakuta kila kitu.
Hayo mashellfish ya nini?
Na sumu wanazo nyingi tu usipowaosha vizuri.
Bei yao imesimama haswa