amate
Senior Member
- Feb 23, 2017
- 157
- 377
Habari zenu wana-JF,
Kama heading invyosema. Tanzania kwasasa tunaongoza East Africa (EAC) kwa kilimo cha mahindi. Nakumbuka kipindi cha nyuma miaka ya 2010 kurudi nyuma Tanzania haikuwa na uwezo wa kujilisha yenyewe kwa chakula cha ndani, tulitegemea ku-import chakula kutoka nje kama vile mahindi, mchele, maharagwe, etc. Kuanzia miaka ya 2014 mpaka sasa Tanzania inafanya vizuri sana kwa kilimo cha mahindi na mpunga.
Mikoa miwili (2), RUKWA na KATAVI ndo mikoa inayozalisha 40% ya mahindi yanayolimwa Tanzania bara. Kwann nasema hivyo, research yangu fupi tu ya mwaka jana na mwaka huu, nimegundua kuwa Rukwa (Sumbawanga), wanasafirisha Semi-trailer za kutosha za mahindi kuvuka mipaka ya Mtukula, Namanga na Sirali. Huku mkoa wa Katavi (Mpanda), pia ukichangia sehem kubwa sana kwenye usafirishaji huo.
Pia, Katavi katika wilaya za Mpimbwe na Tanganyika wanalima mpunga mwingi sana. Japo mkoa wa Katavi sehem kubwa ni hifadhi lakni sehem ndogo wanapoishi watu mkoa unafanya vizuri sana kwa kilimo cha mazao mbalimbali kama vile karanga, ulezi, mahindi, maharagwe, mpunga, viazi vitamu.
Kwa kifupi, hii mikoa miwili ndo inazalisha 40% ya chakula chote hapa Tanzania bara.