Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 950
- 1,727
Mara Nyingi Naona Matangazo Kwenye Mtandao Kuhusu Kikuu Online Shopping.Sasa Kinachonitatiza Ni bidhaa zinazouzwa Humo mbona Bei zake Ziko Cheap sana,Mara Ya kwanza Nilishtushwa Nilipoona Iphone 12 Pro Max Ikiuzwa kama laki 2 Za Kitanzani Nilipochunguza Niligunduna Ni Picha Ya Iphone 12 lakn bidhaa yenyewe Ni Iphone 6.Nikapata Jawabu kumbe Hizi ni Picha tu.Lakn bado Mdomo wangu Uliendelea Kuwa wazi tu bidhaa bado Ni cheap Na unakuta bidhaa mpya kabisa lakn bei yake Iko chin,Hata Used na Refurbished Bado naona Kama bei zao Ni Cheap.
1. Naomba Kujuzwa kama Kuna mtu kashawahi Order Product na Akaipata Product yake
2. Kuhusu Delivery wanatumia Njia Gani wenyewe
3. Vipi Kuhusu Bei za Chini za Bidhaa Zao
4. Je, ni Legit Platform kama zilivo Ebay, Amazon