Naomba kujuzwa kuhusu huu msemo

sic2019

Senior Member
Oct 14, 2018
129
81
Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa kuhusu msemo usemao "kata pua uunge wajihi" una maana gani katika maisha halisi.
Ahsanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…