sic2019 Senior Member Oct 14, 2018 129 81 May 20, 2019 #1 Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa kuhusu msemo usemao "kata pua uunge wajihi" una maana gani katika maisha halisi. Ahsanteni
Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa kuhusu msemo usemao "kata pua uunge wajihi" una maana gani katika maisha halisi. Ahsanteni