Naomba kujuzwa kuhusu deki file extension

Naomba kujuzwa kuhusu deki file extension

Nivlek Mboya

Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
43
Reaction score
42
Wadau, naomba kuuliza, ni file extension gani ambayo video inaplay kwenye deki?
 
Kama ni deki za kizamani. Avi ndio zinaplay tena utafute converter ambayo inaweka codecs za kizamani ikiweka tu H264 haiplay, zinakubali tu divx na zifananiazo.
 
Back
Top Bottom