Naomba kujuzwa kuhusu BVR!

Naomba kujuzwa kuhusu BVR!

Second Fiddle

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2014
Posts
469
Reaction score
122
Wasalaam! Nakihitaji sana kitambulisho cha mpiga kura na kwasasa nipo nje ya dar! Naomba kufahamishwa tarehe ya mwisho kuandikisha hapo dar. Pia naomba kufahamishwa mikoa ambayo zoezi hili bado halijafanyika ili kama nitachelewa zoezi hili likafungwa kwa dar basi nijaribu kujimuvuzisha huko kwingine maana nafasi yangu ni kuanzia august 26! With thanks!
 
dar ndio mkoa wa mwisho ndugu, jiandikishe ni haki yako kikatiba.
 
kulingana na ratiba ya tume, kwa dar mwisho ni 31.7.2015,hata kama wataongeza, kwa hiyo tarehe yako ambayo utakuwa free, labda kudra za mwenyezi zipite ndio utaweza kujiandikisha!! kwani zoezi lenyewe ni kama tunaviziana,
 
Back
Top Bottom