Naomba kujuzwa kuhusu Business Administration Evening Class UDSM

baba bora

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
1,500
1,093
Wakuu na hitaji kujua Kuhusu business administration evening class utaratibu upoje Yani Ada, na muda wa kuanza na kumaliza vipindi nimeangalia prospectus na guide book haija elezwa
Asante sana
 
Mkuu nilifungua iyo linki lakini hakukua na Maelezo niliyo ya taka Kuhusu Ada na muda wa kuanza na kumaliza vipindi nimeangalia prospectus na guide book haija elezwa
Nimesoma hiyo course 2013, Ada ilikuwa ni 8.5 mil mkuu. . Ongeza na other costs zile hapo

My take, Ada inaweza kuwa imepanda. . So, ni vizuri ukiwa maeneo ukapitia pale ukauliza au Kama upo mbali ntakuulizia kwa mtu afu nkujuze
 
Nipo Mbeya Mkuu kwa sasa
 
ktk sekta ya kilimo, hiyo mili. 8.5 ni mtaji mkubwa sana unaoweza kumfanya mtu akaitwa 'freemason' kwa muda mfupi. kuitupa ktk kuongeza elimu ya 'coursework' ni kutoitendea haki.
Nazani alikosea mana Hata MD Vyuo vyote haifiki hiyo
 
Hivi hizi evening class vigezo vyake kujiunga ni sawa na course za kawaida hizi za mchana ?

Kuna course work kama kawaida?
Supp pia?
 
Back
Top Bottom