Naomba kujuzwa kiwango cha mishahara ya waajiriwa wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)

Yes hao jamaa, wabinafsi saaaaana, hapo hakuna bahati ni kushikana mkono unaingia
Kwasasaivi ajira zao zinapitia tume ya ajira utumishi,mambo ya mlango wa nyuma hakuna sasaivi,atakayefauru usaili ndie atakayepata......tangu awamu hii ilivyoingia madarakani wale vipanga wengi ambao ni watoto wa kimaskini wamepata kwenye mashirika makubwa zaidi ya tanapa
 
Jpm apongezwe
 
Mkuu
Mambo ya kujuana bado yapo. Nilifanya both written and oral interview na jamaa mmoja ana dada ake hapo TANAPA HQ. Jamaa alikua shortlisted kwenye two different posts.
Alifaulu zote na zote akaitwa kazini. Alichofanya ni kuchagua post ipi anaitaka. Na amepangiwa Park nzuri kabisa karibu na nyumbani. Hebu connect dots hapo halafu niambie.
 
Hahaha watu wanahisi hamna kuwekana?
 
Mkuu
Mambo ya kujuana bado yapo. Nilifanya both written and oral interview na jamaa mmoja ana dada ake hapo TANAPA HQ. Jamaa alikua shortlisted kwenye two different posts.
Alifaulu zote na zote akaitwa kazini. Alichofanya ni kuchagua post ipi anaitaka. Na amepangiwa Park nzuri kabisa karibu na nyumbani. Hebu connect dots hapo halafu niambie.
Kweli
 
Hizo ni mvwembwe tu,mambo ni yaleyale tu.
Ni sawa na kuhamisha hela mfuko wa kulia na kuhamishia wa kushoto
Kwasasaivi ajira zao zinapitia tume ya ajira utumishi,mambo ya mlango wa nyuma hakuna sasaivi,atakayefauru usaili ndie atakayepata......tangu awamu hii ilivyoingia madarakani wale vipanga wengi ambao ni watoto wa kimaskini wamepata kwenye mashirika makubwa zaidi ya tanapa
 
nikikumbuka Tanapa sina hamu nao kwenye pratical code hazirun sijui zile computer walifanya nini!
jamaa mmoja akawa anaomba amebadilishe position kila saa
 
Hahahaha nakumbuka wakati nipo chuoni tulikuwa tunajadili Mambo ya mishahara ,tukaweka na malengo kabisa ila laaa baada ya kuingia ni hatari
 
Back
Top Bottom