Naomba Kujuzwa Juu ya Hatua za Kusajili Biashara ya Baa/Pub Hapa Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Kujuzwa Juu ya Hatua za Kusajili Biashara ya Baa/Pub Hapa Tanzania.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Utivu, Jul 5, 2012.

 1. U

  Utivu Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Wadau naomba kufahamu toka kwenu, ni vigezo vipi na hatua gani mtu anatakiwa kufuata ili aweze kuanzisha, kuendesha biashara ya baa/pub (baa/pub ndogo) kihalali?

  Shukran.
   
Loading...