yogan
Senior Member
- Feb 26, 2013
- 133
- 85
Habari za saa Hz wanajamvi.
Ni Imani yangu kuwa nyote hamjambo na mnaendelea vema. Naomba kujuzwa jinsi ya kupata control number ili niweze kulipia GPSA ili niweze kupata kujumuishwa kwenye supplier Kwa mwaka 2021- 2022.Najua Ada yake ni shs 100,000 ( Laki moja) changamoto ni jinsi ya kuipata namna ya kulipia.Kwa anayejua Hilo anisaidie nitafurahi.
Natanguliza shukurani