Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia GPSA baada ya kupata tuzo ya ku-supply kwa mwaka 2021- 2022

yogan

Senior Member
Feb 26, 2013
133
85
Habari za saa Hz wanajamvi.

Ni Imani yangu kuwa nyote hamjambo na mnaendelea vema. Naomba kujuzwa jinsi ya kupata control number ili niweze kulipia GPSA ili niweze kupata kujumuishwa kwenye supplier Kwa mwaka 2021- 2022.Najua Ada yake ni shs 100,000 ( Laki moja) changamoto ni jinsi ya kuipata namna ya kulipia.Kwa anayejua Hilo anisaidie nitafurahi.

Natanguliza shukurani
 
Mkuu ..bahati mbaya umechelewa sana kufanya application. Zabuni za GPSA zilitangazwa mwezi march na kurudiwa tena mwezi may baada ya mfumo wa Taneps kuleta shida.

Kwa mwaka huu dirisha limeshwafungwa
 
Hongera sana sana, kuna jamaa wako pale watu wa IT nadhani, wana msaada mkubwa sana sana. Nimejaribu kuangalia kwenye simu yangu nimesevuje namba zao nimesahau, nadhani anaitwa Hassan au Miraji sikumbuki ila Mara nyingi alikua msaada sana kwangu
 
Mkuu ..bahati mbaya umechelewa sana kufanya application. Zabuni za GPSA zilitangazwa mwezi march....na kurudiwa tena mwezi may baada ya mfumo wa Taneps kuleta shida.
Kwa mwaka huu dirisha limeshwafungwa,
Yeye anasema ameshapata tuzo ya ku-supply tayari kwa 2021.....hivi majibu yameshatoka?
 
Mkuu ..bahati mbaya umechelewa sana kufanya application. Zabuni za GPSA zilitangazwa mwezi march....na kurudiwa tena mwezi may baada ya mfumo wa Taneps kuleta shida.
Kwa mwaka huu dirisha limeshwafungwa,
Hapana ni kwamba nilipata tuzo lkn pia ndo lazima ulipie tena laki moja.
Shukran Kwa kujali
 
Hongera sana sana, kuna jamaa wako pale watu wa IT nadhani, wana msaada mkubwa sana sana. Nimejaribu kuangalia kwenye simu yangu nimesevuje namba zao nimesahau, nadhani anaitwa Hassan au Miraji sikumbuki ila Mara nyingi alikua msaada sana kwangu
Ahsante jamaa ngoja tujaribu tuone.
 
Back
Top Bottom