JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,470
- 2,560
Usingizi muhimu sana, lack of it unaweza kufa ukiwa umesimama wimaHakuna starahe ninayoipenda duniani na nikiikosa nakua na stress sana kama usingizi
Shukrani MkuuUkifika tu asubuhi kunywa kahawa asubuhi, mchana saa 3 ukimaliza kula piga energy drink yako moja, but pia kumbuka kukaa na usingizi bila kulala mda mrefu inapelekea ugonjwa ikiwemo msongo wa mawazo pia kichwa kuuma, hapo cha kufanya day unazopata nafasi za weekends zitumie vizuri kwa kulala sana mpaka ufanane na kitanda ili jumatatu uanze na nguvu mpya
Ikitokea nafasi nyingine BossNiunganishe hiyo kazi mimi maana huwa huwa sina usingizi kabisa
Yeah, ni dhiki kubwa sanaUsingizi muhimu sana, lack of it unaweza kufa ukiwa umesimama wima