Naomba kujuzwa bei ya vitunguu karatu,arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa bei ya vitunguu karatu,arusha.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chuck j, Jun 12, 2012.

 1. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,428
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Jamani ninaomba kujua bei ya vitunguu huko arusha.maeneo ya karatu,kwa wakulima.nataka kufanya biashara ya kuleta hapa dar-asanteni kwa ushirikiano wenu.
   
 2. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,852
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ningekushaauri uangalie maeneo kama Ruaha Mbuyuni au Homboro Dodoma huko kidogo unaweza kupata kwa bei nzuri maana karatu wakenya wameshikilia soko bei yake inaweza kuwa kubwa kuliko ukienda hizo sehemu ingawa sijui ofa yako ni kiasi gani
   
Loading...