malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,918
- 4,709
Wakoo hamjambo humu nataka kujua Bei ya fuso nikiasi gani Japan mpaka naipata mkononi napia kwa mtu fuso yenye Hali nzuri nishingap
Tipper ?Wakoo hamjambo humu nataka kujua Bei ya fuso nikiasi gani Japan mpaka naipata mkononi napia kwa mtu fuso yenye Hali nzuri nishingap
Fuso ziko Aina nyingi .ungefunguka zaidi mkuu uweze kusaidiwa bossTipper ?
Fuso ya bodi kubwa ya bomba yakufunika naturubaiFuso ziko Aina nyingi .ungefunguka zaidi mkuu uweze kusaidiwa boss
Hapana ya mzigo ya bodi yakufunika natubai ya bomba zileFuso ziko Aina nyingi .ungefunguka zaidi mkuu uweze kusaidiwa boss
Mitsubishi Fuso unayotaka ni long base. Hizo Bomba wajapani hawaweki utakuja kuchonga wewe huku kwa fundi mchundo.Fuso ya bodi kubwa ya bomba yakufunika naturubai
Ndio mkuu long base bongo kwa mtu shingap naweza pata yenye Hali nzurMitsubishi Fuso unayotaka ni long base. Hizo Bomba wajapani hawaweki utakuja kuchonga wewe huku kwa fundi mchundo.
Fuso long base kuchukua kwa mtu mkononi shingapFuso ziko Aina nyingi .ungefunguka zaidi mkuu uweze kusaidiwa boss
Kwa mtu unapata kuanzia million 25 mpaka 50. Inategemea ipo katika Hali Gani.Ndio mkuu long base bongo kwa mtu shingap naweza pata yenye Hali nzur