Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,046
- 2,131
Habar za leo wakuu natumai mko poa sana...
Kama kichwa cha habar kinavojieleza naomba kujua wapi nitapa mabati haya ya kawaida haya ya migongo midogo lakini yenye rangi hata yasiyo na rangi ili nifanye uchaguzi kutokana na mfuko ulivo maana nmejaribu kuangalia kwenye page mbali mbali za wauzaji naona ni ghali sana ila nikaona humu kuna watu wa kila aina wengine ni wauzaji, watengenezaji, mafundi na wengine wamesha jenga kwa hiyo ni mahali sahihi na pazuri kupata ushauri na maelezekezo kwa wazoefu ni kiwanda kipi au muuzaji yupi ni nafuu kuliko wengine .
Kuna mabati ya geji tofauti tofaut ila mi ningejua ya geji 30 ma 32 yale ya futi 10 au mita 3 yenye rangi na yasiyo na rangi, bundle moja yanakaa mangapi na kwa sh ngapi .. Nmeona kwa alaf yuko juu sana aisee Karibuni sana kwa michango.